UCHAGUZI NIGERIA: Tinubu aendelea kuongoza katika majimbo kadhaa

Your browser doesn’t support HTML5

Shughuli za kuhesabu kura ziliendelea Jumatatu nchini Nigeria kufuatia uchaguzi mkuu wa Jumamosi ambapo mgombea urais kwa tikiti ya chama kinachotawala aliendelea kuongoza kwa wingi wa kura kutoka majimbo kadhaa huku nayo tume ya uchaguzi ikishutumiwa kwa changamoto zilizogubika mchakato huo.