Biden ahutubia kikao cha pamoja cha Bunge la Marekani, Wananchi watoa maoni yao

Your browser doesn’t support HTML5

Maoni mbalimbali yajitokeza baada ya hotuba ya Rais Joe Biden ya Hali ya Kitaifa aliyoitoa katika kikao cha pamoja cha bunge la Marekani lililogawanyika kisiasa.

- Watu watatu wauawa Kivu Kaskazini wakiandamana....

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari