Guterres asema mataifa ya Afrika yamedumazwa na madeni

Your browser doesn’t support HTML5

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres anasema nchi nyingi za Afrika zimenyimwa ahueni ya madeni wanayohitaji sana na ufadhili wa masharti nafuu.