Usalama unachukua nafasi ya juu miongoni mwa wanigeria wanaojitayarisha kwa uchaguzi mkuu
Your browser doesn’t support HTML5
Karibu wanaigeria milioni 93 wanatarajiwa kushiriki kwenye uchaguzi mkuu ambao Rais Muhamadu Buhari hatoshiriki baada ya kumaliza mihula yake miwili madarakani.