Hatua ya Marekani kutungua puto la China yaibua hisia mseto.

Your browser doesn’t support HTML5

China imeendelea kuishutumu Marekani kwa kutungua puto lake mwishoni mwa wiki ikisisitiza kwamba halikuwa linatumiwa kufanya ujasusi, huku serikali ya Biden ikisitiza kwamba ilikuwa na haki ya kutungua chombo hicho.