Nchi wanachama wa IGAD wanafanya kongamano nchini Kenya kuhusu usalama na changamoto zake

Your browser doesn’t support HTML5

Miongoni mwa masuala yatakayoangaziwa na IGAD ni usalama, ugaidi, biashara haramu ya binadamu, ukosefu wa usalama baharini miongoni mwa changamoto nyingine za kiusalama