Marekani, Mexico na Canada kuimiarisha ushirikiano wa biashara

Your browser doesn’t support HTML5

Viongozi wa Marekani, Mexico na Canada wameahidi kuimairsha ushirikiano wa bishara na viwanda pamoja na kupambana na biashara haramu ya dawa za kulevya.

Marais Joe Biden wa Marekani, na Andrés Manuel López Obrador wa Mexico pamoja na waziri mkuu wa Canada Justin Trudeau, walitanagza hayo baada ya mkutano wao wa kila mwaka ulofanyika Mecixo City Januari 13, 2023. Viongozi hao walikubaliana pia juu ya namna ya kukabiliana na wimbi la wahamiaji wanaoingia Marekani kinyume cha sheria kupitia Mexico.