Papa Francis anatarajiwa kuwasili DRC Januari 31 kwa ziara ya siku tatu nchini humo

Your browser doesn’t support HTML5

Papa Francis anatarajiwa kuwasili Congo na Sudan Kusini wiki ijayo. Papa anazitembelea nchi hizo mbili ambako miaka mingi ya mizozo imewalemaza wengi na bado ni miongoni mwa maeneo magumu zaidi duniani kupata upatikanaji na uelewa. Ziara yake inawatia moyo Wakatoliki na wasio Wakatoliki pia