Maoni mseto baada ya Ruto kusema kulikuwa njama za kumuua mkuu wa IEBC

Your browser doesn’t support HTML5

KKufuatia madai kwamba kulikuwa na njama za kumuua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ya Kenya IEBC, anayeondoka, Wafula Chebukati, Wakenya wana maoni mseto.