Mmoja wa wazazi kutoka mkoa wa Arusha huko Tanzania anaiomba serikali kuchunguza kwa kina suala la watoto kufundishwa kulawitiana shuleni

Your browser doesn’t support HTML5

Shutuma za watoto wanafundishwa kulawitiana shuleni zimeripotiwa na moja ya magazeti yanayoaminika nchini Tanzania jambo lililozusha taharuki kwa wazazi, jamii na wakati huo huo serikali inasema inafanya uchunguzi kuhusiana na tukio hili