Taasisi ya Space Child nchini Kenya inawaongoza watoto na vijana 158 kuwapatia uwezo bora kupitia stadi za maisha

Your browser doesn’t support HTML5

Mkurugenzi katika Spice Child, Chrispine Okelo anasema lengo hasa hasa ni kuwawezesha vijana kuendana na mabadiliko ya kimazingira, kupata stadi muhimu za maisha na kukuza vipaji walivyonavyo pamoja na kuepukana na uovu unaoibuka miongoni mwa jamii wanazoishi kama vile uraibu