Makuu yaliojiri Afrika mashariki wiki hii

Your browser doesn’t support HTML5

Meza ya waandishi yazungumzia habari zilizotamba wiki hii katika eneo zima la Afrika mashariki ambapo huko nchini Kenya ugonjwa wa kisonono usiotibika wasambaa na kuleta hofu miongoni mwa wakazi .