Wanasayansi kenya wamegundua ugonjwa wa kisonono usiyosikia dawa unasambaa kwa kasi bila ya wagonjwa kuonyesha dalili za kuugua

Your browser doesn’t support HTML5

Dawa 17 tofauti zimetumika kutibu aina hiyo ya kisonono bila mafanikio. Kulingana na taasisi ya utafiti wa kisayansi Kenya (KEMRI). Ugonjwa wa kisonono unaendelea kusambaa Kenya na idadi ya watu walioambukizwa haijulikani kutokana na watu kuwa na uhusiano wa kimapenzi na watu tofauti