Netanyahu apiga hatua katika uundaji wa serikali

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri Mkuu mteule wa Israeli Jumanne amevuka hatua nyingine ya kuunda serikali baada ya bunge kuidhinisha sheria yenye mgawanyiko na kukubaliana na washirika wake wa muungano wa mrengo wa kulia.

Jeshi la DRC limesema waasi wa M23 wamekiuka mikataba ya Angola

Pia katika matangazo haya tunakuletea makala ya afya.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari