Wazazi waaswa wajihusishe zaidi katika maisha ya watoto wao.

Your browser doesn’t support HTML5

Huko Tanzania matokeo ya kitaifa ya mtihani wa darasa la nne na kidato cha pili kwa wanafunzi waliofanya mtihani mwaka 2022 yameshuka ikilinganishwa na 2021 Wadau wamewataka wazazi wajihusishe zaidi katika maisha ya watoto wao.