Rais Zelenskyy atembelea Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy ametembelea Marekani siku ya Jumatano na atakuwepo White House na kulihutubia Bunge la Marekani.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari