Siku ya kimmataifa ya HIV na Ukwimi yaadhimishwa kote ulimwenguni, kauli mbiu ikiwa ni kuzingatia usawa katika jamii.

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.