Mkutano wa kutafuta amani DRC kufanyika kuanzia saa tatu asubuhi Nairobi

Your browser doesn’t support HTML5

Chini ya wiki moja tangu makundi ya waasi mashariki mwa DRC kupewa makataa ya kuweka silaha chini, mkutano mwingine unafanyika Jumatatu mjini Nairobi, Jenya, chini ya usimamizi wa EAC.