Mabadiliko ya kampuni ya Twitter yatawagusa vipi vijana?

Your browser doesn’t support HTML5

Bilionea Elon Musk amenunua mtandao wa Twitter, na kuna matarajio kuwepo na mabadiliko makubwa kwa watumiaji wa mtandao huo hasa vijana ambao wanaweza kuathirika na yale yatakayo jitokeza.