Hali ya uchumi, ughali wa maisha ni masuala makuu katika uchaguzi wa kati kati ya mhula Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Wamarekani wameanza kupiga kura za mapema za uchaguzi wa kati kati ya mhula Novemba 8. Ushindani mkubwa uko katika majimbo manne kati ya 50.