Tanzania, Kenya zazindua mfumo wa biashara ya kidijitali "ili kupunguza gharama"

Your browser doesn’t support HTML5

Wadau wa sekta za mawasiliano waTanzania na Kenya wamezindua mfumo wa kufanya Biashara Kwa njia ya kidigital unaolenga kuondoa usumbufu, urasimu,na gharama zisizo za lazima, ukisimamiwa na mashirika ya Posta ya nchi Tanzania na Kenya.