WHO yatoa tahadhari kwa nchi jirani na Uganda baada ya Ebola kuripotiwa mjini Kampala

Your browser doesn’t support HTML5

Shirika la Afya Duniani lilionya Jumatano kwamba kufika kwa Ebola katika mji mkuu wa Uganda kulionyesha hatari kubwa ya kuenea zaidi kwa virusi hivyo, likitoa wito kwa nchi jirani kuongeza utayari wao.