Idadi ya watu nchini Tanzania yaongezeka kwa kasi, yafikia milioni 61.7

Your browser doesn’t support HTML5

Idadi ya watu nchini Tanzania iliongezeka kwa zaidi ya asilimia 37 katika muongo mmoja hadi milioni 61.7, Rais Samia Suluhu Hassan amesema na kuonya juu ya changamoto zinazoletwa na ongezeko kama hilo.