Je waziri mkuu mpya wa Uingereza, Rishi Sunak atatatua changamoto za Uingereza?

Your browser doesn’t support HTML5

Katika mjadala wa Ijumaa, Live Talk tunazungumzia siasa za Uingereza baada ya kupata waziri mkuu mpya Riki Sunak, ambaye ameweka historia ya kuwa waziri mkuu mwenye asili ya Asia na Afrika Mashariki.