Mfumuko wa bei ni moja ya ajenda kuu za kuamua uchaguzi wa katikati ya muhula wa Marekani.

Your browser doesn’t support HTML5

Uchaguzi wa katikati ya muhula unadaiwa utaamuliwa na masuala ya uchumi, lakini kubwa zaidi itakuwa ni mfumuko wa bei ambao unashambulia Wamarekani.