Mamia ya Wazimbabwe wajitokeza katika maandamano ya kupinga vikwazo vya Magharibi

Your browser doesn’t support HTML5

Mamia ya Wazimbabwe walijitokeza Jumanne katika maandamano ya kupinga vikwazo vya Magharibi, ambavyo serikali imekuwa ikivilaumu kwa muda mrefu kuwa sababu ya matatizo ya kiuchumi ya nchi hiyo.