Umoja wa Afrika, AU, umetoa wito wa kusitishwa mapigano bila ya masharti yoyote huko kaskazini mwa Ethiopia na kutaka mazungumzo kuanza.

Your browser doesn’t support HTML5

Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.