Mkuu wa UNHCR aomba ulinzi zaidi kwa wakimbizi

Your browser doesn’t support HTML5

Mkuu wa shirika la Umoja wa mataifa linalohudumia wakimbizi (UNHCR) Filipo Grandi ametoa wito kwa nchi wanachama wa shirika hilo kutoa ulinzi kwa watu wanaokimbia mizozo na unyanyasaji, bila kujali kabila na uraia wao.