Mazingira duni ya kazi na tofauti ya malipo ya mishahara ni changamoto kuu za waalimu Afrika mashariki na kati

Your browser doesn’t support HTML5

Waalimu wanasema tofauti ya mishahara kwa waalimu wa sayansi na biashara pamoja na mazingira duni ya kazi yanachangia jamii kudharau tasnia ya elimu ambayo ndio kiini cha mafanikio yanayomgusa kila mtu duniani