Rais Tshisekedi aitaka UN kujihusisha zaidi katika kupambana na ugaidi

Your browser doesn’t support HTML5

Wakati jeshi la Jumuiya ya Afrika Mashariki likitarajiwa kuingia mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC wakati wowote makubaliano rasmi yanayotoa mamlaka kwa utendaji kazi wa jeshi hilo yakikamilika.

Kwa upande wake Rais Tshisekedi ameutaka Umoja wa Mataifa kujihusisha zaidi katika kupambana na ugaidi.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari