Mkuu wa IMF Kristalina Georgieva Alhamisi amekutana na rais wa Malawi Lazarus Chakwera, kuhusiana na kukwamua uchumi.

Your browser doesn’t support HTML5

Malawi inakabiliana na changamoto nyingi za kiuchumi pamoja na deni kubwa la kitaifa, wakati dhamani ya fedha ikishuka kwa karibu asilimia 11.