Kimbunga Ian chafanya uharibifu kwenye jimbo la kusini mashariki mwa Marekani la Florida.

Your browser doesn’t support HTML5

Wataalam wanasema kwamba kimbunga hicho ndicho kibaya zaidi katika msimu huu wa vibunga ambao huanza Juni hadi Septemba hapa Marekani.