Rwanda yatangaza hatua madhubuti za kuzuia kuenea kwa viruzi vya Ebola villivyoripotiwa Uganda.

Your browser doesn’t support HTML5

Wizara ya afya imesema kwamba hatua madhubiti zimechukuliwa ili kuhakikisha kwamba kuna uangalizi wa kutosha kwenye mipaka.