Kenya: Rais Ruto ateua baraza lake la mawaziri

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Kenya William Ruto ameteua baraza lenye mawaziri 21, wakiwemo mawaziri wanawake 7. Ruto amemteua aliyekuwa makamu wa rais Musalia Mudavadi kuwa mkuu wa mawaziri katika serikali yake, na gavana wa zamani wa Benki kuu ya Kenya Njuguna Ndung'u kuwa waziri wa fedha.