DRC yaishitaki Rwanda kwenye mkutano wa Umoja wa Mataifa

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi anataka Umoja wa Mataifa na ulimwengu kwa jumla kuchukua hatua za dharura na kali kuiwajibisha serikali ya Rwanda, akisema ndio inachangia kwa kiasi kikubwa kuvuruga amani mashariki mwa DRC.