Wasichana 25 wanusurika kukeketwa Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Wanafunzi 25 kutoka jamii ya wafugaji ya kabila la Wamasai jijini Arusha waliokuwa wafanyiwe ukeketaji ikiwa ni maandalizi ya kuozeshwa, wamenusurika kufanyiwa kitendo hicho. Vijana waaswa kuzungumza yanayowasibu ili kuepusha vishawishi vya kujiua.