Rwanda na Denmark zasaini makubaliano ya kushughulikia suala la waomba hifadhi

Your browser doesn’t support HTML5

Rwanda na Denmark zimetia saini makubalino ambapo nchi ya Denmark itajenga kituo cha kimataifa kitakachokua na jukumu la kuwapokea watafuta hifadhi nchini Denmark na katika nchi nyingine za ulaya na kwingineko.