Dunia yaadhimisha siku ya kusoma na kuandika

Your browser doesn’t support HTML5

Wakati Dunia ikiadhimisha siku ya kusoma na kuandika shirika la UNESCO linasema changamoto bado ipo hasa kwa upande wa wanawake ambapo wanatajwa wanawake wengi barani Afrika na duniani kwa jumla bado wako nyuma katika kusoma na kuandika.