Meli iliyosheheni ngano ya Ukraine yawasili Djibouti

Your browser doesn’t support HTML5

Meli iliyokodishwa na Umoja wa Mataifa iliyosheheni ngano ya Ukraine inayopelekwa kwa mamilioni ya watu walio katika hatari ya njaa nchini Ethiopia iliwasili Djibouti siku ya Jumanne.