Japan yazindua kongamano la uwekezaji Afrika

Your browser doesn’t support HTML5

Japan imefungua kongamano la uwekezaji barani Afrika nchini Tunisia leo Jumamosi, ili kukabiliana na ushawishi wa mpinzani wake China ambaye ukuaji wake wa kiuchumi katika bara hilo unaendelea kukua.