Visa vya ukatili wa watoto vyaongezeka hususan mkoani Tanga, Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Ili kuweza kutokemeza vitendo vya ukatili dhidi ya watoto vinavyoendelea Kuripotiwa kwa wingi mkoani Tanga wazazi na walezi wametakiwa kuacha kuvifumbia macho na kutoa taarifa na ushirikiano kwa mamlaka husika.