MPLA yaongoza uchaguzi wa Angola

Your browser doesn’t support HTML5

Tume ya uchaguzi ya Angola imesema asilimia 86 ya kura zote tayari zimehesabiwa, ambapo zinaonyesha kuwa Chama tawala cha MPLA kina uwezekano wa kuendeleza utawala wake kwa muongo wa tano kikimpa Rais Joao Lourenco kipindi kingine cha miaka mitano.