Wakazi wa Mombasa waelezea matarajio yao kwa Rais mpya wa Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Wakazi wa mji wa Pwani ya Kenya wanatarajia kuwa rais mteule William Ruto ataleta maendeleo katika mji wa Mombasa, ambao wanasema ulitengwa kwa muda mrefu na serikali zilizotangulia.