Hisia mseto baada ya Raila kupinga matokeo ya uchaguzi Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Hisia mbalimbali zimeendelea kutolewa baada ya aliyekuwa mgombea urais nchini Kenya, Raila Odinga, kusema kwamba hakubaliani na matokeo ya uchaguzi wa urais yaliyotangazwa Jumatatu na Tume ya Uchaguzi na Mipaka nchini humo IEBC, na kwamba atachukua hatua zilizoainishwa kikatiba kuyapinga.