Wakenya wasubiri matokeo siku ya tano baada ya kupiga kura

Your browser doesn’t support HTML5

Baadhi ya Wakenya walalamikia kasi ya kuhakiki na kujumulisha kura inayoendelea katika ukumbi wa Bomas of Kenya siku tano baada ya kupiga kura Jumanne wiki hii huku mwenyekiti wa tume ya uchaguzi IEBC akitangaza mabadiliko ya kimkakati katika mchakato huo.