DRC: Zaidi ya watu 40 wauawa na waasi

Your browser doesn’t support HTML5

Zaidi ya watu 40 wameuwawa na wengine zaidi ya 30 kutekwa nyara na makundi mbali mbali ya waasi katika wilaya ya Djugu na Irumu kaskazini mashariki mwa DRC, maafisa wamesema Jumapili.