Serikali ya Kenya kuombwa kuhakikisha usalama wa wanafunzi

Your browser doesn’t support HTML5

Wanaharakati wa haki za watoto nchini humo wanasema kwamba wakati wa zoezi la uchaguzi wa Agosti 9, baadhi ya watoto watakuwa nyumbani bila uangalizi wa wazazi na kwa hivyo hatari nyingi huenda zikatokea wakati macho yakiwa kwenye uchaguzi.