Maseneta Nigeria washinikiza Rais Buhari kufunguliwa mashitaka

Your browser doesn’t support HTML5

Maseneta wa upinzani nchini Nigeria walishinikiza Rais Muhammadu Buhari kukabiliwa na mashtaka, miezi 10 kabla ya kumalizika kwa muhula wake wa pili madarakani..