Waziri wa mambo ya nje wa Russia Sergei Lavrov akamilisha ziaara yake barani Afrika.

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri wa mambo ya nje wa Russia Sergei Lavrov alikamilisha ziaara yake baran Afrika kwa kukutana na viongozi serikali ya wa Ethiopia mkjini Addis Ababa huku akikosolewa na baadhi ya mataifa ya Magharibi.