Familia za watu waliotekwa nyara Nigeria waandamana kushinikiza serikali kuchukua hatua ya kuwaokoa.

Your browser doesn’t support HTML5

Hilo limefanyika baada ya watekaji nyara wanaodai kuwa kundi la kigaidi la Boko Haram kutoa video mwishoni mwa wiki,wakitishia maisha ya mateka wao pamoja na maafisa wa ngazi za juu serikalini.